Wakuu salama!...
Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo...
Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman...
Ninaiweka orodha hii ili muda muafaka ukifika mmoja baada ya mwingine atafanya yake;
Freeman Mbowe,huyu kazi yake kubwa ni kuwaondoa wanachama kwenye lengo la msingi hususan pale hari inapokuwa...
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya...
Mwanzo nililalamikia sana uongozi wa juu wa chama kushindwa kuchukua hatua juu ya mkakati wa madiwani kujiuzulu na kuhamia CCM pamoja na viongozi na wanachama kadhaa, Sikujua kumbe huu ulikua...
BREAKING NEWS USIKU HUU
Tuna taarifa rasmi kuwa, Jeshi la Polisi, kupitia kwa maelekezo kutoka JUU, limeelekezwa kuzingira Makao Makuu ya CUF, Vuga - Zanzibar. Ili kumzuia Katibu Mkuu wa CUF na...
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake...
Mfano wa hawa binadamu tusiende mbali sana tubaki humu humu mwenye bara letu ambalo wale ndugu zetu waliita "BARA GIZA". Hili neno kwangu hua linaniumiza sana kila ninapolisoma au kulisikia...
Kama tunavyofahamu madiwani kadhaa waolikuwa wanachama wa Chadema walijivua nyazifa zao za udiwani ili kumuunga mkono Magufuli.
Nyeti zimedokeza kuwa madiwani hao pamoja na makubaliano mengine...
Breaking news:
Mwenyekiti wa ccm Meru na katibu mwenezi wake wahamia chadema Leo.
Afisa habari wa chadema mh Ndonde amefika kuwapokea makada hao wa ccm
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe...
Kuna tetesi kua kwa sasa wale wanachama wa CCM ambao LOWASA aliwahi kusema watamfuata upinzani sasa muda wowote wanaweza kubwaga manyanga na kuvaa magwanda kumfuata kamanda EL CHADEMA, pia kuna...
Ndugu wanabodi
Mtakumbuka kuwa bara la Afrika lilikumbwa na jinamizi la utumwa na baadaye ukoloni na baadaye sana ukoloni mambosasa ambao bado tunaathirika nao na mwishowe haujulikani hadi sasa...
Kuna taarifa nimepenyezewa na rafiki yangu Wa karibu kuwa kuna sintofahamu imeibuka baina ya vijana Wa tawi LA ccm mitandaoni, baada ya baadhi yao kutaka wapewe mikataba ya kazi wanayoifanya...
Wanabodi.
Nimepokea tetesi from deep inside kuwa kuna kesi nyingine 8 za ufisadi ambazo uchunguzi umekamilika na sasa ziko mezani kwa DPP zikisubiri kibali cha kupelekwa mahakamani.
Hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.