Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.
Hatua hii...
Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika...
UVCCM MALINYI: DC AMEVURUGA UCHAGUZI WETU
"Katika hali isiyotarajiwa mkuu wa wilaya yetu alifika kwenye ukumbi wa uchaguzi pamoja na kwamba hakuwa mgeni mwaalikwa wala mgeni rasmi,alijipa jukumu...
Amani iwe nanyi, tetesi nilizozipata hivi punde ni kwamba umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) unataraji kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuongea na wananchi. Naomba tusubiri kama ni kweli...
Amani iwe nanyi, tetesi nilisozipata zinatabiri kwamba Serikali imeshaunda task force kuchunguza na kubaini wahusika wa vitendo vya utekaji na utesaji dhidi ya raia na huenda ikaundwa tume huru ya...
Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa Mirerani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa Mirerani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli...
Mh.Makonda akikagua gwaride
Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda...
Wanabodi,
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika...
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo...
Habari wana jamvi.
Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na...
Ninachosema ndicho nimaanishacho. kwakua nimeifanya kua ni tetesi, let's wait time talks itself.
Kuna kila dalili ndugu yetu aliyepewa Ban na media zote hapo juzi kati hivi, sasa hivi wenye...
Kuna tetesi Acacia wameamua kuanza kufunga mgodi wa Bulyankulu week 5 kuanzia sasa. Acacia wana miliki migodi mitatu Tz ( North Mara, Buzwagi na Bulyankuli).
Kutokana na maelezo yao, Bulyankuli...
Wadau kama kuna kipande cha Manji alichosema kuwa yeye haongei na mbwa ila anaongea na mwenye mbwa naomba akiweke apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu ndani ya Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania (CHAKAMWATA). Hiki ni chama mmbadala wa CWT, nk.
Ukijiunga na chama hiki utapata faida kadhaa ambazo huwezi kuzipata ukiwa...
Shyrose ndio aliyezima jaribio la Rwanda kutumia bunge la EAC kwa maslahi ya utawala wao wa kidikteta, ikiwemo kuongoza wabunge kupinga kupinduliwa kwa spika aliyekataa hoja ya Rwanda kutengeneza...
Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?
Pia naomba mniambie kwanini...
CUF HAITAKUWA IMARA TENA! MISSION IMEKAMILIKA KWA 80+℅
CUF sasa inaishilia, ni kama mpango unakamilika, mpango mkakati umetengenezwa kimkakati zaidi, kuhakikisha CUF haina nguvu tena, ili kuleta...
Nawashangaa vijana wa lumumba mnatapatapa sana kutunga uongo kila siku, me nipo iringa hayo mnayoyasema hayapo kabisa tumetoka kwenye mkutano juzi tu na madiwani wote walikuwepo sasa huu uzushi...
Inadaiwa kuwa ukiwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, Das au mbunge kazi yako ni kuwahudumia wananchi. Kwa maana hiyo CCM haioni sababu ya mtu kuacha kuwatumikia wananchi kama DC ili ukawatumikie kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.