All Quiet on the Western Front” Movie Questions
1. What is the title of this film?
All Quiet on the Western Front
2. When was it made?
1930
3. Who wrote the original novel?
Remarque
4. Why...
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:
Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza...
Habari wanajamvi.
Leo tumeshuhudia kuachiwa huru kwa Wanamuziki maarufu nchini waliokuaa wakitumikia adhabu ya kifungo cha Maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka na kulawiti watoto...
*BREAKING NEWS*:
Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.
Taarifa zilizotufikia...
Kutoka kwenye chanzo cha karibu kabisa na aliyekua Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini Mh Nyalandu, ni kwamba mwanasiasa huyo anatajaria kukaa na kupumzika kwa muda kugombea ubunge kutetea...
Hii ni taarifa niliyodokezwa na mdau mmoja ambaye ni mhusika kwenye 'kitengo cha manunuzi' CCM.
Lipumba na timu yake wamelazimishwa kuhakikisha wanahamia rasmi CCM kabla ya January.
Maulid...
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la Kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara...
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa Maulid Mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na kujiunga na CCM.
Anajipanga kugombea jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM
Je ni kweli...
Taarifa za kuaminika kutoka kwa Mbunge wa Mtwara mjini Mhe Maftah Nachuma kupitia CUF zinabainisha kuwa Mbunge huyo anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari ili kutangaza maamuzi magumu ya...
Habari za weekend,
Ujio wa Dr balozi padree utakuwa na hatua nyingine za kushtukiza ambazo kuna vijana wake wanne ndani ya CHAMA fulani mmoja aliyekuwa mbunge wa maeneo ya stendi ya mabasi na...
Ndo mjue huu ushindi wa kata 42 waliopiga kura na kushinda ni polisi chini ya uangalizi wa ccm, NEC kusaidia kukandamiza haki za wengi na wakurugenzi kutangaza matokeo huku upinzani wakitekwa na...
Mme amini mkuu ni wawote na kile alikifanya bwana fulani ilikuwa nikuligologa na kama sio kulikologa alijichanganya kiaina....
Mbona hapakuwa na pingamiz kwa mikoa mingine ila yeye tu...
Kuna...
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Kile kitendawili kigumu kilichokuwa kimekosa majibu sasa majawabu yake yako bayana! Kuna kila aina ya dalili CCM wanamuandaa Prof Kitila Mkumbo kuchauana vikali na Dr...
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...
Mwenye...
Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni...
Kwa tunaomjua kafulila na misimamo yake isiyotetereka eti leo awe hahisi kulegezwa na vipande vya noti? Mwanzo tulip wengi tuliwaza hivyo lakini kuna minong'ono inasikaka kwamba kulee ambapo...
Wakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January...
Kumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya...
Ijumaa hii bunge litahitimisha kikao chake na moja ya jambo litakalofanyika ni kutoa hukumu kwa mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo
Ni wazi kwa mazingira yalivyo Zitto...
Akiwa mwenye nguvu na imani kubwa yakile anakiongea alisisitiza viongozi kuwekeza ktk nchi yao huku akiwananga tume ya maadili na juhudi zakuwabana viongozi mafisadi pasipo kujuwa amakujuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.