Kutokana na mawazo yao, wale jamaa basi mkubwa akakutana kuangalia jinsi kazi ilivyokwenda kwa kipindi hiki cha wiki mbili kuisha. Hali kwa mujibu wao imekwenda vyema kwani mambo fulani ya msingi...
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi...
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na mabadiliko ya Idara na Vitengo katika Halmashauri za Wilaya,Miji na Manisipaa.
Idara zitakuwa ni
1.Utawala,Mipango na Fedha
2.Majengo,Mitambo,Miundombinu na Maji...
Wahenga walisema kupanda mchongoma kuushuka ndio ngoma pamoja na usaidizi wa kila Aina anaopewe lipumba na wanaomfadhili ili kuidhoofisha CUF sasa mambo yameharibika upande wa Lipumba ni dhahiri...
Kufuatia kuondolewa kwa jina la Rais wa TLS Tundu Lissu kutetea kiti chake TLS kwa kile kamati ya uchaguzi ilichodai aliyependekeza jina la Tundu Lissu ameshindwa kuthibitisha uhalisia wa fomu ya...
Muda wowote kuanzia sasa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatarajia kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi nchini ikiwa ni pamoja na kujaza nafasi za wazi katika wilaya husika na...
Uongozi wa juu wa TRA huko katika hatua za mwisho kuanza mchakato wa ukusanyaji maoni juu aina mpya ya kodi itakayoanza kutumika mapema mwakani.
Kodi hiyo mpya itakuwa inawataka wanufaika wote wa...
Habari zimenifikia. Kweli jasiri haachi asili. Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu amejipanga na kupangika kufungua kesi ya madai dhidi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
SIRI imefichuka, kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashirikiana na baadhi ya viongozi serikalini, kumtumia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Sales Katabazi Mutungi, ili kuvifuta vyama...
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio...
Habari wana JF.
Habari ndio hiyo.
Uchunguzi dhidi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha NIT ukikamilika taarifa za ndani zinasema huyu atatumbuliwa.
Ingawa mi naona tuna tatizo kubwa zaidi ya hapo...
Chini naweka video clip yenye taarifa ya bandiko hili, kama ushahidi
Wazo la wiki ni Je, Viongozi wa CHADEMA walikuwa na mikakati ya kushinda chaguzi za marudio au ya kuharibu mfumo mzima wa...
Inauma sana tunakoelekea, hata kma ni kutaka sifa za vyeo lkn tutaumizana kwa style hii. Nasema ni kama tetesi kwa savabu siamini hiki nilichoambiwa, labda nipate na uthibitisho kutoka kwa watu wa...
Huu Ni ushindi wakimkakati. Ambapo inasemekana kushindwa kwa CCM kwenye miji ya Moshi na DSM ilikuwa ni hujuma ambayo ilifanywa na wana CCM wenyewe ambao hawakupenda kuona Rais wetu mpendwa...
Leo nimepata habari kwamba vitambulisho vya Uraia ndivyo vitatumika kupigia kura mwaka 2020 na vitambulisho vya kupigia kura vya sasa havitatumika. Hata sasa taasisi mbali mbali zimeanza kutumia...
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na...
Habari zakunyapia nyapia kutoka SA yule rais ambaye aliingia madarakani kwa kumfanyia zengwe mwenzake Thabo Mbeki akajiuzulu. Nayeye pia siku zake zinaesabika baada ya kuwepo mashinikizo ndani na...
Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .
Taarifa kutoka lumumba zinadokeza kwamba fungu lililotengwa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwa ccm , chama...
Amani iwe nanyi, tetesi zilizonifikia hivi punde ni kwamba vyama vinavyounda ukawa vikiongozwa na chadema vimepanga kuitisha maandamano ya amani mkoani hapa ili kupinga vitendo vya wanasiasa(ccm...
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.