Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge...
Imeelezwa kuwa karibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amekuwa akihaha kumnasa bondia Hasan Mwakinyo ili kumkaribisha chamani pamoja
Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku...
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA...
Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa...
BAADA ya uchumi wa nchi kuyumba na maisha ya wananchi kuwa magumu, Rais John Magufuli anahaha kufyatua noti mpya.
SAUTI KUBWA inatambua kwamba tayari serikali imeshaanza mradi wa ufyatuaji wa...
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaonekana kuwa hoi kifedha, kwa miezi kadhaa sasa limekuwa likishindwa kuwalipa wastaafu malipo ya pensheni kwa wakati ambapo malipo hayo hufanyika tarehe 24...
Formal sector IMEAJIRI jumla ya watu km 2.5m, sector binafsi 1.8m (72%) na serikali 0.7m (28%) ya AJIRA zote rasmi Tanzania. Sector binafsi inahudumiwa na NSSF ambayo kwa sasa ama imeshafilisika...
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii...
Muda wote amejichimbia anatafuta namna ya kuhalalisha batili iliyofanyika Korogwe. Atajibu hivi: "Barua yako imekuja kama malalamiko na sio rufaa, kwa hiyo NEC imeshindwa kukujibu"
Halafu...
Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila...
Ndugu Wana JF,
SUB: LISSU AOMBA HIFADHI YA UKIMBIZI WA KISIASA NCHI TATU
Nimepata hizi habari ambazo nimeziita TETESI, kwa sababu hakuna Actual Facts, ama Ushahidi ambao unaweza kuugusa, lakini...
Mtanisamehe lugha yangu kma itawazingua basi msi mind washkaji mnizomee tu....sorry i mean mnizoee tu.
Mkataa kwao ni mtumwa walisema madingi wa hapo kale. Nmekaa sana nikaskuti na kugundua huko...
........ Hivi sasa kuna wimbi kubwa sana la viongozi wa vyama viwili vikuu vya upinzani kujivua uanachama wao kutoka vyama vyao na kujiunga na CCM kwa madai yanayofanywa, wako wabunge , madiwani...
jaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman
Hii thread nimeipa hadhi kuwa ni TETESI hadi hapo itakapodhibitishwa.
Ni kwamba kuna watu wamelaumu sana wale wanaojitoa huku kwenda kule na kusema wanaunga mkono juhudi na kusema wanashawishiwa...
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku...
Habari za chini chini kutoka ndani ya chama cha mapinduzi zinasema kuwa msanii Wema Sepetu anaandaliwa na wakubwa wa chama hicho kuchukua nafasi ya Jokate aliyetumbuliwa hivi karibuni.
Aidha...
Amechukua maamuzi magumu,kwani tangu wateuliwe tarehe 18 Julai 2016 hakuna aliyewahi kujiuzulu nafasi yake zaidi ya rais kuwatumbua. Kwa muda mrefu halmashauri ya wilaya ya mbinga ilikuwa na...
YAH: NAMNA SWALA LA UWIZI WA MADINI KATIKA MGODI WA MERERANI LINAVYOSHUGHULIKIWA KATIKA NGAZI YA WIZARA.
Taarifa za Kamisheni ya Madini zinaeleza kuwa mrabaha utokanao na Tanzanite umeshuka toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.