Taarifa zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa wadau wa ngazi za juu katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zimeeleza kwamba chama hicho (CHADEMA) kiko katika mpango wa kumtumia Mh. Lazaro Nyalandu...
Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa...
Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania...
Wanabodi,
Kuna 'tetesi' kuwa, baada ya mahamaka leo kumrejesha rumande Freeman Mbowe, tayari kuwa mikakati imeanza kufanywa kutafuta mrithi wa Mbowe, ambaye kwa kiwango kikubwa amelenga...
Taarifa za kiintelijensia (siyo ya polisi) zilizinifikia usiku huu ni kwamba Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga ameandaa kikundi cha wanaccm toka Tarime Mjini wanaojulikana kwa jina la...
Nimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka...
Taarifa zinaeleza kuwa Awamu ya pili ya kuruhusu waliokwenye nyadhifa mbalimbali kuviacha vyama vyao itaanza hivi karibuni ambapo kwa wale watakaoingia katika ngwe hii ni wale wenye sifa za...
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Msimu wa kutumbua tumbua katika utawala wa mtukufu hautakoma kamwe. Kila baada ya muda kuna kigogo ndani ya utawala anatumbuliwa. Ndio mtindo wake, hivyo tunapaswa kuuelewa na kuuzoea tu...
Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la...
Habari ambazo zimetrend jioni hii, ni kuhusu tetesi za kuhamia ccm kwa mbunge wa Arumeru Mashariki, ndugu Joshua Nassari. Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari, ndani ya masaa 72 yajayo usajili...
Mambo kama haya najua hupigwa chini haraka sana hapa JF maana pia tunafanya biashara...lkn wacha nifikishe tu ujumbe maana mjumbe hauawi...mambo mengine yanayoendela chinichini yanaogofya mno...
Wasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza...
Waziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .
Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine...
Jamaa baada ya kuona cdm kupitia sugu na jay wameongeza idadi ya waleta ruzuku chamani na wao wapo sasa kwenye mazungumzo na wafuatao
Roma-Tanga
Stamina - Morogoro
Mc pilipili- Chamwino
Fid q -...
Ndugu wana jf kwasasa duniani madikteta yanatoweka ila Kuna yanayozaliwa upya hususan afrika sasa kama unajiona hauko salama kutoa maoni na mawazo yako huko wasap njoo tuyamwage humu na pia...
Wasalaam, tetesi zilifika hivi punde kutoka ufipa zinasema kwamba CHADEMA wameamua kuwaunga mkono CUF ili jimbo lirudi UKAWA japo haijawekwa wazi wataiunga mkono CUF ya maalim Sefu au ya Lipumba...
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
-...
NIMEAMINI MHE. MBOWE SASA AMEKWAMA.
21 Sept.
Nimesikitishwa sana kumuona kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Freeman Mbowe akilalama kuiponda serikali na kuilaumu kufuatia ajali ya MV Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.