Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nafahamu kuwa serikali ni mfumo ambao unaongoza na kusimamia rasilimali za nchi kwa maslahi ya wananchi lakini kumbe sikuwa sahihi kabisa... Nilijua siyo kweli kwa...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Toka chanzo changu nyeti cha habari kimedadavua habari hii kwa uhakika kabisa kwamba kisa cha kutolewa ubalozi mtoto wa sokoine nchini ubelgiji na kurudishwa nchini ni kile kitendo cha yeye kwenda...
41 Reactions
99 Replies
20K Views
Wakuu salaam. Taarifa za ndani nilizozipata kutoka kwa mnyetoshaji wangu aliyepo CHADEMA makao makuu zinaeleza kwamba kuna mgo goro mkubwa umeibuka ndani ya chadema hivi sasa ambapo chama hicho...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
  • Closed
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga)...
21 Reactions
279 Replies
30K Views
Nimekuwa nikisikiliza hoja mbali mbali kutoka watu mbalimbali nakutamani watanzania na wasomi ktk taifa hili tukubaliane yakuwa sio serikali inauwa secta zaki bank ila mahali fulani vyombo vyetu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari kutoka chanzo kinachoaminika ndani ya serikali zinaonyesha kwamba serikali ya awamu ya tano imeendeleza dhana ya kutokuwa na huruma kwa wahanga wa matukio ya maafa kama matetemeko na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna tetesi ambazo hazijakanushwa kwamba watumishi waliostaafu kazi hawajalipwa pesa zao na mifuko ya hifadhi ya jamii km nssf na PSPF. Tetesi hizo zinasema kuwa mifuko hii haina fedha na hali...
9 Reactions
57 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu. Ni muda mrefu umepita tangu madiwani wa kata katika halmashauri mbalimbali nchini kujiuzulu udiwani na kujiunga na ccm ili 'kuunga mkono' juhudi za rais Magufuli.Aidha kuna...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa sana wazazi na wahitimu wa ualimu wa masomo ya Sanaa katika awamu ya uongozi huu wanaskitika kwani unaonyesha ubaguzi wa Hali ya juu kwa visingizio vya kukuza sayansi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Meli mbili zenye mafuta ya kula tani 62 zimekwama kwa zaidi ya wiki mbili katika Bandari ya Dar kufuatia mvutano juu ya aina ya mzigo uliomo kwenye meli hizo na kodi wanayotakiwa kulipa. TBS...
8 Reactions
65 Replies
8K Views
Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!! Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Hali zenu wana JF siasa. Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu. Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
12 Reactions
101 Replies
13K Views
  • Closed
Watumishi wa CCM waliosimamishwa kazi pamoja na baadhi ya makatibu wa wilaya wameandika waraka wa siri kwenda kwa wazee wa chama hicho kuhusu hali ya chama. Katiba ya CCM inabakwa na Magufuli huku...
14 Reactions
90 Replies
11K Views
  • Closed
Kwanza naomba kwa heshima na taadhima, admin msiunganishe uzi huu na mwingine. Ndugu wanajukwaa, kama wote tupendavyo, juhudi za kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ni...
22 Reactions
167 Replies
18K Views
Katika vikao vya kupitisha bei ya viwanja vya Songwe Satellite City, msimamo wa viongozi wa vyama na Serikali Wilayani Mbeya ulikuwa kila square meta moja kuuzwa kwa bei isiyozidi sh. 7,000/=...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Siuyu na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Siuyu amefukuzwa kazi ya utendaji wa kata kwa sababu ya kushindwa kuthibitisha elimu yake. Madai yake...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna tetesi zinadai kwamba, Mkuu wa Mkoa WA Arusha Mrisho Gambo amepokea kipigo kutoka kwa Katibu wa Ccm Mkoani Arusha Elias Mpanda Mara baada ya kulazimisha wajumbe wasiohusika kuingia kikao cha...
26 Reactions
180 Replies
32K Views
Wasalaam, tetesi zilizotufikia hivi punde ni kwamba CHADEMA ,CUF, ACT-Wazalendo na NCCR Mageuzi wamejichimbia kufanya vikao vya ndani ili kuja bungeni na hoja ambazo zilitalitikisa taifa. Aidha...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Yaani akiwa anatokea kwenye uzinduzi maeneo ya banana kuna njia ya kutokea kinyerezi wakafunga barabara kwa SAA kaza ila baya zaidi hadi GARI za wagonjwa zimezuiliwa yaani hawajali hata wagonjwa...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom