Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hizi ni tetesi wala makachero msipoteze Muda kuja nibana nani zangu kuniulza umepata wapi taarifa. Ila hii ni hali yakawaida na nijambo wengi wetu tulilitegemea kutokana na mazingira na matukio...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari toka ndani ya CCM zinaeleza kwamba baadhi ya wanachama wa chama hicho waliofukuzwa, wameelekezwa kuandika barua za "kuomba msamaha" ili chama hicho "kiwasamehe" na kuwarudisha tena CCM...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Hassanali Mjumbe wa bodi ya wadhamini Chadema mwenye siri za fedha zote za Chadema kuhamia CCM ndiko kulimkimbiza Lowasa kwenda kumwona Magufuli akihisi siri zote za pesa za Chadema zimemwagwa...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Wana JF Mtakumbuka wiki hii mwanzoni ilisikika clip yenye sauti inayodaiwa kuwa Christopher Ole Sendeka - Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Clip hiyo ilizungumzia hali ya demokrasia nchini pamoja na...
10 Reactions
20 Replies
3K Views
Hizi ni taarifa za uhakika nilizopenyezewa na mdau wangu wa Katibu kutoka Ndani ya chama. Nitaendelea kushushia nondo kadiri zitakavyokuwa zikinifikia. Mtakumbuka kuwa Mara baada ya Kheri James...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu, Nawaletea taarifa hii kama nilivyopokea. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chadema Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari Jumatano hii kwenye hotel ya...
12 Reactions
210 Replies
19K Views
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe. Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.
17 Reactions
233 Replies
21K Views
  • Closed
Kuna Taarifa tunaendelea kuzifatilia zinasema Mbunge mwingine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ameshafikia Bei La fungu na Mandalizi ya Mwisho yanaendelea na Ndani ya siku Saba kwanzia...
1 Reactions
118 Replies
9K Views
Nyalandu ameweka sytle ya kuhama vyama. Tetesi kutoka ndani ya chama fulani ni kwamba kuna wabunge wanne ambao watahama chama chao. Wengine walionekana jijini Dar es Salaam walipokuwa wakitoka...
7 Reactions
208 Replies
24K Views
Taarifa za karibu zinaonesha Chama cha Mapunduzi CCM kinawawinda viongozi wa Vijana kutoka ACT -Wazalendo na NCCR - MAGEUZI, hii ni baada ya kumnasa Pastrobass Katambi wa CHADEMA. Kwa sasa Kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa...
2 Reactions
67 Replies
14K Views
Yule bwana wa mkoa fulani ambaye wengi wanamnasibu ni mtoto pendwa wa mkuu wa taifa sasa kimya matamko yote kwisha na sasa kila mtu anawajibika kwa sehem yake... Ile clip ya mdudu kaa inapigwa na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Johannesburg, Afrika Kusini. Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii. Kamati ya tuzo...
12 Reactions
305 Replies
27K Views
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini...
17 Reactions
144 Replies
16K Views
Nisiku chache zimepita taifa letu limepoteza wanajeshi wake 15 na taarifa zisizo rasmi zinasema mzee wa Rwanda anahusika yani vikosi vyake vya waasi nchini ccongo ndio vimeleta majanga kwa askari...
7 Reactions
85 Replies
11K Views
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
10 Reactions
116 Replies
11K Views
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaniambia aliyewahi kuwa waziri mkuu wa awamu ya nne huenda akaachana na Chama hicho na Kustaafu siasa moja kwa moja. Hata hivyo Mheshimiwa Lowassa Amekuwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana Jf. Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya...
10 Reactions
135 Replies
19K Views
Habari zilizotufikia hivi punde Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda...
27 Reactions
326 Replies
29K Views
  • Closed
Mara baada ya kusimamishwa kazi Jana, Nehemia Mchechu kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi. Taarifa zinasema Junanne atapandishwa mahakamini kwa makosa kadhaa yakiwemo uhujumu uchumi...
18 Reactions
159 Replies
23K Views
Back
Top Bottom