Habari za chini chini zinasema kuna mazungumzo mazito sana yamefanyika nyumbani kwa Freeman Mbowe usiku kwa zaidi ya siku tatu wiki iliyopita.
Ajenda kubwa kwenye mazungumzo hayo yalikuwa ni...
Lazaro Nyalandu mbunge wa Singida Kwa tiketi ya CCM, ameiacha CCM kimya kimya na kinachosubiriwa ni kutangaza rasmi kuhamia Chadema, imebainika.
Taarifa toka Singida na Jimboni kwake zinabainisha...
Anaitwa Wilson Nkambaku, Kwa sasa ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya aliyepangiwa kazi mwaka huu. Alikua mkuu wa wilaya awamu ya nne katika wilaya za Meatu na Arumeru kabla ya kurithiwa na Alexander...
*BAADA YA SERIKALI KUANZA MAHOJIANO NA RAZALO NYARANDU KUHUSU KASHFA MBALIMBALI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII RASMI ATIMKIA CHADEMA.*
Baada ya Serikali ya awamu ya Tano kuanza...
Kuna tetesi zinaendelea kuzagaa kule Zanzibar kuhusu kufanyika mabadiliko ya Utawala . Taarifa zinasema kunatarajiwa kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa hivi karibuni zitakazowashirikisha CCM na...
WanaJF
Habari ambazo zinaenea ni kwamba Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Dr Kitila Mkumbo anajiandaa kugombea ubunge Iramba Magharibi 2020 kupitia CCM.
Taarifa za uhakika kutoka kwa watu kadhaa wa...
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja...
Tumeanza Safari, tuko na wewe
Naungana na wale wote wanaoshangilia uamuzi wa kishujaa wa Rais wa Tanzania kupitia chama cha CCM. Pamoja na reservations nyingi zangu na za watu wengine, kitendo...
Tahadhari!
Usinihoji kuwa mimi ni nani, lakini kiufupi naipenda Tanzania ingawa yenyewe hainipendi kama ninavyoipenda.
Kama kawaida yangu naendelea kunyetisha na kuwapa habari motomoto...
Nimeelezwa na kada mmoja maarufu ambaye pia ni mjumbe wa vikao mbalimbali vya CCM ya kwamba, katika uchaguzi mkuu ujao wagombea wote wa chama chao ni lazima wawe ni wakazi wenye makazi ya kudumu...
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini kuwa kiongozi ambaye hivi sasa ni mwenyekiti wa kanda na yule aliewahi kuhudumu nafasi mbali mbali Serikalini na CCM siku yeyote ndani ya mwezi huu...
Ni Takribani wiki moja na siku kadhaa kumalizika kwa vikao vya juu vya chama cha Mapinduzi CCM mpaka sasa kumekuwa na minong'ono na mahojiano mbele ya wajumbe juu ya mstakabadhi wa nafasi ya...
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.
Ifahamike kwamba...
Kwanza kabisa declare interest mimi ni bush lawyer ,ila hainizuii kunifikirisha kwenye scenario ambayo tumeambiwa jana na mahakama kupitia vyombo vya habari mbalimbali (Azam,Itv etc,social media)...
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya...
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
Habari hizi ni za...
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya...
Habari za chini ya kapeti ule usemi wa mzee wa kazi Rais Magufuli kuwa anawaandalia majizi kifo cha mwisho ndani ya Serikali sasa umekuwa kweli.
Habari za kuaminika kutoka ndani inasemekana...
Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.