Kuna taarifa kwamba baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na baadhi ya wajumbe wa bodi ya korosho iliyotumbuliwa wako katika harakati za kutaka kuharibu...
Nimefuatilia mjadala wote humu, ninachoweza kusema baada ya kutafakari kwa kina kwa kuwa na Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya... Wenyeviti huwa tunaumizwa sana na baadhi ya watendaji wetu pamoja...
Sote tunajua awamu zilipo pita zilikua na.miradi lukiki isiyo na tija. Miradi ambayo kodi ya mwananchi ilitumika pasipo manufaa kama ile miradi ya mifuko ya jamaii na baadhi ya taasisi bila...
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu...
Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia...
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la...
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mdau magogoni kwamba, Ubalozi wa Misri kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya nje wamendaa sherehe itakayowajumuisha wawakilishi wa nchi mbalimbali barani afrika...
Duru za ndani zinasema kitendo cha Mkurugenzi Korogwe cha kutumia mbinu ya kukataa kupokea fomu akidhani mbinu hiyo itampa credit kinaelekea kumponza baada ya CUF Lipumba nao kuja na lawama...
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza...
Nmekuwa nikimsikiliza sana huyu msomi ambaye huongea anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Najiuliza anajiamini nini? Kwa nini ameamua kuchagua fungu hilo?
Maneno ambayo huongea ni makali sana na...
Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe
Kuna tetesi kuwa Katibu...
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge...
Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani...
Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa...
Kuna taarifa zisizo rasmi ambazo baadaye nahisi zitathibishwa na wahusika nimezinyaka kutoka pande za upinzani kwmba kuna maandalizi ya siri kuwapokulea vigogo 7 kutoka Chama utawala ambapo 4 ni...
Kwanini kurinyuu laini ni ngumu sana kuliko kusajili laini mpya?? Nawaza mengi katika hili maana kurinyuu laini mpaka uende Police ukapate barua ya Polisi na maswali kibao
Nimesoma sana humu mtandaoni juu ya mtifuwano wa 2020 ccm.
Kiukweli mengi yana andikwa ila wengi hatujuwi nn kitatokea japo Hisia na mihemko inatutesa.
Kipo kikako kimoja tu cha siri ambacho...
Wanabodi,
Kama ilivyo ada, ninawaletea habari mpya, ambayo ina msisimko kwa siasa za nchi kwa sasa. Jana majira ya saa 7 mchana niliipata ila imethibitishwa leo asubuhi. Wabunge wengine 2(wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.