Kuna mkakati unafanywa ukiwahusisha viongozi wa CCM kumshawishi Rais aruhusu bunge live, sababu wanazojenga ni kuwa wananchi hawawaoni wala kuwasikia wawakilishi wao wanapo elezea mazuri...
Wasalaam, baada ya takribani miezi3 tangu serikali ikusanye korosho za wakulima kwa nia ya kuzinunua hatimae serikali hiyo imewarudishia wakulima korosho hizo kwa madai hazina ubora. Kutokana na...
Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.
Niliwahi kumtahadharisha...
Anaandika Ansbert Ngurumo:
UTAWALA wa Rais John Magufuliumeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi.
Zamu hii...
Kwa mjibu wa vyanzo vyangu binafsi vinanimbia wabunge wa upinzani hawatarudi bungeni mwakani na baadhi wanaompinga bwana yule. List ni ndefu. Na hawa wawili walioko Mahabusu ndo washa wekewa...
Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019...
Kwenu jukwaani.
Hivi karibuni kila halmashauri humu nchini imekuwa ikibuni vyanzo vya mapato. Baadhi zimeenda mbali kwa kupendekeza tozo ya Tsh 50,000 kwa kibali cha sherehe kama harusi...
Kama umewahi sikia bajeti ya usalama wa taifa au jeshi linanunua vifaru vingapi basi rudi hapa kunionyesha pesa imepotea. Walahi naarisha mpaka UK.
Wajinga ndio waliwao.. Pesa zipo salama...
Hapa Iringa kuna harakati zinaendeshwa na kundi la baadhi ya wana CCM kuwashawishi waalimu kujiorodhesha na kuingizwa kwenye Kanzi Data (Data Base) ya chama hicho kwa ahadi kwamba kipekee maslahi...
Najaribu kuunganisha DOT kinachoendelea huko Ughaibuni watu wakisaka kuungwa mkono ili wasaidiwe 2020 ata kwa kushirikiana na mashetani walisema wenyewe kuwa watafanya hivyo alimradi waende Ikulu...
Ni jambo lisiloeleweka kwanini Bunge kupitia kamati husika linashindwa kuichunguza na kuikagua NSSF ambayo kwa sasa ni mahututi. Kwa muda wa miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa...
Habari zilizonifikia Kuna mlipuko Tena wa kigaidi nchini Kenya na mpaka Sasa mtu mmoja kafariki. Eneo linajulikana Kama Kwa stage tom mboya juction
More to come
Ndugu zangu,
kurunzi letu limenasa habari za mkutano wa siri unapangwa kuwakutanisha Ndugu Tundu Lissu na Danielle Viotti.
Danielle Viotti ni rais mwenza wa taasisi ya wabunge katika bunge la...
Ndugu zangu taifa hili lina mafumbo mazito sana kiasi mimi natetemeka hata kuandika hii habari.
Hivi kweli mahojiano ya CAG Kule majuu na vile mkuu wa lile jumba dodoma alivyo pokea yanafanana...
Leo kwenye you tube naona masha anasema kampuni yake ya new forests nikashangaa na kusema mmbona kila kampuni inayopigwa jiwe masha anasema yangu hiyo asije kuwa anajiokotea tu kama wale mwaka...
Shikamo Mh Rais nafurahi sana unavyo waonyesha upo a head of them but silence i wish uwaonyeshe zaidi but more silence..
Walianza mjengoni ukawa kimya. Walipo ona husemi kitu wakaenda mbali...
Wizara ya nishati na Tanesco
Je mnajua kuwa waliojihusisha na ujenzi kutoka makambako mpaka songea hawajalipwa na hiyo kampuni ya KALPATARU YA INDIA?
Na wanaowadhurumu ni watanzania wazawa...
Wanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu...
Wasalaam, Kuna taarifa zimevuja kwamba vyama vya upinzani nchini(ukawa) vimezamiria kutoshiriki chaguzi zote zitazoitishwa na tume ya uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba hii tume ni mali ya Ccm na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.