Habari wana JF...
Kuna mambo yanaendelea ktk nchi hii ni makubwa na ya ajabu.
Yasiposemwa huko mbele hatutaweza kupona kama Taifa.
Mnaweza mkachagua kunyamaza ila gharama ya kuja kurekebisha...
SO WHAT IS A COWARDice of JIWE?
HERE ARE16 SIGNS OF THE MODERN COWARD
1) He fears honesty
He isn’t just dishonest, he fears honesty completely. The Modern Coward knows his true character isn’t...
UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5...
Mh Rais ulisema jana watu wajilipuwe ila wengi walishindwa maana Uwenda kwa hasira ulio nayo juu ya uzembe na ubadhirifu kikao kingebadilika na unge weza hata taman upeleke mahakaman watu na...
Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati...
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea...
Rais wa Somalia akitokea Africa kusini ametua kwa dharura Tanzania baada ya intelejensia kubaini kuwa angetunguliwa angani katika mpaka wa Somalia na Kenya
Karibu sana MO. huku kuna wasomali...
Now Confimed: Tundu Lissu kuwasili nchini tarehe 07.09.2019 baada ya mabadiliko ya ratiba.
------
Shujaa Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kutua nchini siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tarehe...
Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka...
Mheshimiwa Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, amesema kapata taarifa kwamba Mdude Chadema kufikishwa kwenye kituo kimoja wapo cha Polisi Jijini Dar jana Usiku.
KUNA taarifa TUNAFUATILIA kwa ukaribu...
Mengi yamesemwa kuhusu vilio vya wafanyakazi lakini naamini vilio hivi havitakaa yaishe.
Tatizo kubwa according to My views, ni SHERIA na TARATIBU mbovu zisizo na haki zinazosimamia utumishi...
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kufanyika kikao cha Baraza Kuu la Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa. Ambapo imeelezwa kuwa kikao hicho kinatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 4/5/2019...
Ni imani yangu Nape yuko CCM kwa sasa ili tu kulinda ubunge wake na hata mahaba aliyonayo kwa viongozi wa chama chake ni mahaba fake tu ili mradi alinde kibarua chake.
Ukimchunguza Nape utagundua...
Habari kutoka ndani ya Ccm ni wanataka kumpitisha John D Pallangyo kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki.
John D Pallangyo aligombea mwaka 2015 lakini alishindwa kufurukuta mbele ya kijana mdogo...
Nimeona hili kuhusu China Kujenga makao makuu ya Jeshi jijini Dodoma, ni kweli? Naelewa kuwa tuna ushirikano na China kwa muda mrefu na hata kusaidiana katika nyanja mbalimbali lakini kwa hili...
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu...
Mniwie radhi ya kwamba sitawatafunia kila kitu.
Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.
Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za...
Kutokana na ripoti ya CAG kuzilaumu ofisi za kibalozi za Tanzania nchini Brazil na Comoro kwa matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa kukodi magari, huenda mabalozi husika wakaitwa kuhojiwa na...
Kwa taarifa za uhakika (ambaye hataki kuamini anaruhusiwa), azimio la Dom yalikuwa ni maagizo Kutoka Juu. Mara ya kwanza, mimi sikuwa miongoni mwa waliokuwa wakilirhania hilo.
Aliyeagiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.