Mwaka 1856 sultan sayyid said alikuwa na Mlinzi katili anaitwa Abdalah Juma alikuwa anatesa sana watu kuna siku mbuzi dume kubwa lenye pembe likampiga pembe bwana Abdalah na kumchana sehemu za...
Aisee wakuu hali ni mbaya,
Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania...
Nchi ipo katika kipindi cha maandalizi ya mipango na bajeti ya 2020/2021. Utaratibu unataka taasisi za serikali na mawakala kuanza mchakato wa maandalizi wa mipango na bajeti zao mara baada ya...
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi...
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa...
Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT.
Inasemekana kupitia tetesi kwenye...
Kuna taarifa za ubaguzi wa ajira ndani ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa wapinzani na hasa watu kutoka kisiwa cha Pemba. Taarifa hizi zinaendelea kuzagaa na kutolewa katikati ya lawama za...
Baada ya Magufuli kumtumbua yule mmama ambaye wakati fulani aliingia kwenye ligi na Bulaya kuhusu kikokotoo aliendelea mbele zaidi na kuivunja ile Ofisi ya yule mmama yaani SSRA na kisha kuamua...
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .
Taarifa...
Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi...
Kwa yanayoendelea huko Mwanza ,CCM lazima itapokea baadhi ya makada watakao hama vyama vyao kujiunga CCM
Miongoni mwao ni Mzee Sumaye, hiki kikao lazima kitatangaza kumpokea mzee Sumaye na Lowasa...
HEMED ALLY, MAMLUKI ALIYEPENYA KAMATI KUU.
Ni vema kama vijana wa chadema tukajifunza katika historia na tukafanya chaguo lisilo na shaka kabisa.
Hemed Ally ni mtu wa karibu zaidi na mzee...
Yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania , ni kama mchezo , lakin wajanja walisha jua kuwa msindai na mpendazoe walitumwa kwa kazi maalum
Swali gumu najiuliza je lowassa na sumaye urafiki ulianza...
HUJUMA ALIZOFANYIWA HECHE NI AIBU KWA CHAMA KINACHOJIITA CHA DEMOKRASIA:
Uchaguzi wa Mwenyekiti Kanda ya Serengeti umetamatika huku Heche akifanyiwa hujuma, rafu na figisu za kila namna...
Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco.
M
Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake...
Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani...
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya...
Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani.
Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu...
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.