Habarini
Katika kipindi hiki cha maambikizi ya ugonjwa huu hatari, naomba niwakumbushe au niwatahadharishe wakazi wote wa Zanzibar.
1. Ni usafiri wa daladala zinaitwa chai maharage
Ukweli...
Mgogoro kati ya management na wafanyakazi wa Impala group of Hotels unatarajiwa kutua bungeni. Idara ya kazi Arusha imeshindwa kabisa kushughullikia na kumaliza mgogoro.
Pia NSSF wameshindwa...
MALALAMIKO DHIDI YA AFISA UTUMISHI WA WILAYA YA HAI JUU YA UPENDELEO KWA WATUMISHI
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Hai dhidi ya afisa...
Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja...
Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama...
Habari wananchi!
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili...
Habari za leo waungwana?
Kuna taarifa toka chini ya kapeti kuwa kijana mchapa kazi na mwenye juhudi katika kuhakikisha taifa letu lina songa mbele Mh. Paul Makonda atahamishiwa mkoani Geita kama...
Inasemeka KUB Mbowe atamtumbua James Mbatia kutoka kwenye baraza lake la mawaziri vivuli wakati wowote kuanzia sasa.
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama...
Wakuu naendelea kuwaletea Data za nini kilichojiri pale Ikulu siku mkuu kakutana na NCCR, ACT na CUF.
Mtu wangu wa karibu sana ambaye ni kuiongozi wa juu wa moja ya Chama kilichoitwa Ikulu...
Aliyekuwa kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi, Waziri wa Mambo ya Nje, Kachero mbobezi kama anavyoitwa na wapambe wake, Ndugu Bernard Membe anatazamiwa kujiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo...
Ndugu zangu,
Bado ni tetesi lakini hapa JF ni muhimu huu mjadala ukawepo kwa afya ya siasa za nchi.Zitto Kabwe ndiye mwanasiasa pekee aliyemtembelea Tundu Lissu mara tano hospitalini,mara tatu...
Habari wakuu,
Anaandika kada wa CCM, Bolleni Ngeti
Uoga ukikuzidi unaweza kujikuta unajikimbia. Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (Money Laundering), Bernard Membe kuhusu...
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu...
Kuna taarifa zinaeleza ya kwamba umoja wa vijana wa CCM wilaya ya Iramba wameingia katika mtafaruku mkubwa sana
hii ni kutokana na mgogoro uliopo kati ya katibu wa vijana wa wilaya na vijana...
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa...
Habari zinazosikika ni kwamba NEC itatangaza ratiba ya uchaguzi mdogo Jimbo la Singida Mashariki na kata zilizowazi muda wowote ndani ya wiki hii.
Inasemekana kuwa "Inaonekana" tishio la Lissu...
Akagera national park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori la Burigi, Kimisi ,Rumanyika na Ibanda na kuwafungia kwenye fence- H. Kigwangala umelala
Akagera national park ni mbuga...
Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM
Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments
MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua...
Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.