Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA.
Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea...
Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
Makatibu Uenezi wa Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Kagera wameanzisha mgomo baridi wa kuwalazimisha wenye malori ili wasombe watu kwenda mikutano ya kampeini itakayohutubiwa na Waziri Mkuu Majaliwa...
Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu...
Habari zilizonifikia sasa hivi hapa mezani ni kwamba mwana mama hapo juu alitoa mchango mkubwa sana wa kumsaidia Lissu the Great.
Wenye vinyongo hawakuipenda habari hii, sasa mikono ya dola...
Salaam,
Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini!
Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao...
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.
Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi...
NSSF ni mfuko wa jamii na pesa zilizomo kwenye mfuko huo ni za jamii ikiwa na maana si za serikali ni za wanachama.
Tangu awamu hii ya tano NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wenye pesa...
Wakuu Habari zenu,
Kwa vile Ben Saanane ameonesha kuwa ni mtu anayeamini katika Ukweli na uwazi kiasi cha kupambana na kumshambulia Rais Magufuli mfululizo kwenye page yake Facebook.Jamii forums...
Heshima kwenu.
Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni .
Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Kambanga, ambaye alipata ajali na kukatwa...
Ikiwa kesho tarehe 25 ndiyo siku ya Tume ya Uchaguzi kuwathibitisha wagombea wa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani kwa vyama mbali mbali nchini, hali ya ajira ya watumishi wa Umma waliojitosa...
"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na...
Kumekucha. Habari zilizovuja ni kuwa kuna makubaliano yamefanyika kati ya ACT na Chadema kuwa upande wa Zanzibar CHADEMA itaingiza nguvu zake kumsapoti Maalim Seif katika pambano la Urais nao ACT...
Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa...
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe...
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari polisi walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea...
Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee.
Bunge...
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.