Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.
Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo...
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam...
Habari kutoka vyanzo vinavyoaminika zimekuwa zikititirika juu ya ukweli kuhusu zilikoenda zile Trilion 1.5 ambazo zilionekana kama zimeyeyuka hewani, na kutolewa maelezo yasiyoridhisha na...
Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa.
Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30...
Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna...
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao...
Watu wanasema, lile genge linaloitwa huko mitandaoni "Suk.... gyeng"
Walijimilikisha hii nchi na yule mwendazake.
Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’Jamhuri August 18, 2021...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka...
Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele.
Ila tunawakumbusha mataga,
tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa...
Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana?
Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo!
Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya...
Prof Shukuru Manya, Naibu waziri wa madini ateuliwe kuwa waziri wa madini.
Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo:-
1.ameongoza tume ya madini Kwa uadilifu mkubwa.
2. Amesomea masuala ya madini na...
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la...
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi...
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.
Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe...
Tunaendelea na mjadala mzito juu ya yale yaliyotajwa na CAG ni sahihi ,ndivo yalivo au ni mwendelezo wa juhudi za kufa na kupona kupoteza Legacy ya Jpm.
Nikiendelea kufanya utafiti wangu binafsi...
Wanabodi hii nimeikuta kundi Moja la UVCCM, Rais Magufuli kafa na uzalendo wake, wateule wake wameanza kupiga deal.Kufa kufaana
KASHFA YA UFISADI MKOA WA KILIMANJARO
Mnamo tarehe 19 March Mwaka...
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.
Mtoa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.