Anaandika Thadei Ole Mushi
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni wapewe privilege ya magari yao kuwa na Special number.
Sababu kubwa ya...
Sasa ni dhahiri kuwa, kuanzia mwezi Aprili katika mapumziko ya Pasaka, Mkuu wetu atakuwa na uhakika wa kwenda mapumzikoni kwa kutumia uwanja wa ndege mpya wa Chato, yaani Chato Airport.
Kwa sasa...
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa...
Ninezipata sehemu
Kufuatia watu kumwangusha mkuu kwa sekta mbali mbali kuanzia
1. Ubalozi
2. Uwaziri
3. Ukatibu Mkuu
4. Ukuu wa mkoa
5. Ukuu wa wilaya,
Sekta hizo zitaguswa sana, watapukutika...
Pamoja na kwamba hata kama utakuwa na vitambulisho vyoote husika lakin muhim kuwa na kiapo cha mahakamani kwa taarifa unazotoa wakati wa ufunguzi wa akaunt,
Wakati huo huo akaunt zote ambazo...
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais...
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge...
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake...
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala...
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali...
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.
Taarifa za hivi punde ni...
Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa.
Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko...
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.
Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga...
Wanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika
Inasemekana wenye chama hawataki uchotara wanataka kuirudisha CCM katika misingi yake ndiposa...
Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo.
Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila...
Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.
Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu...
Hizi tetesi zimesikika hapa Sanya juu kwenye tukio kubwa la kumsimika Chifu wa Siha Mangi Kileo.
Viongozi mbalimbali wa serikali wapo hapa hivyo tetesi kama hizi siyo za kupuuza.
Mangi Kileo ni...
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.
Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.
Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.