Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika.
Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao...
Kama inavyojulikana kwa Utamaduni wa CCM mgombea Urais wa JMT atakuwa Rais Samia na fomu itakuwa Moja
Kwa upande wa chama kikuu cha Upinzani Chadema inadaiwa atasimama Meya mstaafu wa Manispaa...
Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena.
Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na...
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance...
Kuna mtu kanitonya yuko jikoni kiasi kwamba Sherehe ya jana bajeti ni Billon 6 sasa zimetumika tumika vipi mimi sijui ila hio ndio bajeti ndio pesa zimeteketezwa jana tu kwa masaaa kadhaaa, huku...
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili...
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.
Pia, imlipe fidia ya hasara...
Taarifa mpya kutoka Mkoani Mara zinadokeza kwamba , baada ya sarakasi za kuuawa kwa walioitwa majambazi huko Serengeti , ambapo wadau mbali mbali wamejitokeza kuhoji uhalali wa mauaji hayo ya...
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu...
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa...
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele...
Duru zinatabanaisha huenda Rais Samia akafanya mabadiriko kwenye baraza la mawaziri hivi karibuni huku ikitarajiwa Dkt. Kalemani kurejeshwa kwenye baraza tarajiwa na atapewa ahudumu wizara ya...
Kuna taarifa kwamba Chadema ni miongoni mwa vyama mashuhuri duniani vilivyoalikwa kushiriki mazishi ya Malkia Elizabeth wa Uingereza.
Bado nafuatilia orodha kamili ya hivyo vyama.
Habari Watanzania,
Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.
Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.
Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa...
Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo.
Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali...
Habari zenu wadau wa JF siasa.
Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025
Mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.