Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama...
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane...
Ilikuwa ni siku chache baada ya mwaka huu (2016) kuanza ambapo Mkurungenzi wa kampuni yenye MAKSI nyingi katika kuendesha MALIPO ya ki-electronic alipomfuata Dr. Manyahi kumtakia heri ya mwaka...
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi...
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka...
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na...
Nimepenyezewa muda huu kwamba Tundu Lissu atatangaza Operesheni ya kuibua Ufisadi kwenye Halmashauri zote nchini.
Hivyo Wakurugenzi ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wanaambiwa "Kaa Chonjo...
Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi.
Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola...
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.
Tayari maelekezo...
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu...
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu...
Moshi kilimanjaro
Katika sakata Linaloendelea Mjini Moshi Dhidi Ya Uporaji Na matumizi Mabaya Ya Madaraka Kwa Katibu Wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathani Marco Mabiya Dhidi Ya Aliekuwa Diwani Wa...
Kundi la Watanzania wanaoishi nje ya nchi kupitia mtandao uitwao Green Advocates limejipanga kuhakikisha Rais wa sasa Dk Samia Suluhu Hassan anakuwa ndio mgombea wa CCM na kupata ushindi mkubwa...
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata...
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka...
Habari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa...
Kila likiisha jambo linakuja lingine,
Kwa habari zilizopo ni kwamba kunaandaliwa utaratibu maalumu wa kuwa na watu maalumu kwa ajili ya tenda mbali mbali kwa sekta zote, hospitali, shule, na...
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani.
Ni hivi wenye nguvu ndani ya...
Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya...
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.