Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo.
1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania
2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake...
Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao...
Wajumbe,
Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.
Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika...
KUNA tetesi kuwa baada ya Spika wa Bunge leo 28/6/2023 kumtangaza bungeni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa alikuwa sahihi kuhusu kutotekelezwa kwa maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
Habari wana jukwaa?
Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi.
---...
Wadau ni mda mrefu sasa kumekua na habari mtaani.Kwamba Cuf au Maalim Self wakipewa Nchi ya Zanzibar .Wale waarabu na Ukoo wa Sultan watarudi kuitawala tena Zanzibar.Na hii ndio sababu CCM hawako...
Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote.
Bibi tozo...
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta...
Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu...
"....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri...
"....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad."
"....moja ya...
Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana.
Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe...
Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa...
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE...
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe...
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.
Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500...
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.