Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World! Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali...
71 Reactions
329 Replies
28K Views
Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini. Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu...
31 Reactions
149 Replies
16K Views
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu...
46 Reactions
178 Replies
14K Views
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la...
31 Reactions
250 Replies
11K Views
Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana...
19 Reactions
63 Replies
6K Views
Nimearifiwa kanisa la sabato linapanga kukutana pmj na mambo mengine litajadili mwenendo wa nchi tangu 2021 hadi sasa Kiongozi mmoja wa Kanisa amesikitishwa na watu kuwekwa ndani kwa kukosoa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja, Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kabla ya Dkt Slaa kumaliza muda wake wa ubalozi aliwahi kuhojiwa tarehe 5 Oktoba 2021 siku chache tu kabla kipindi chake cha Ubalozi kukamilika alinukuliwa akisema 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐛𝐚 𝐦𝐩𝐲𝐚 𝐬𝐢 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐤𝐰𝐚𝐬𝐚𝐬𝐚...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara. Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE? Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa...
18 Reactions
93 Replies
5K Views
Mnashinda salama mna raha gani humu jukwaani? Haya ndugu zangu, nimepewa info kuwa yale mabango ya kumsifia boss kuwa anaupiga mwingi yaliyojaa kuanzia kila kona ya DSM na mikoani kila kona...
32 Reactions
95 Replies
5K Views
Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA...
1 Reactions
7 Replies
797 Views
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika...
23 Reactions
136 Replies
10K Views
Tuliwaambia ushirika wa wachawi haudumu viongozi waandamizi wa CHADEMA na kikundi cha sauti ya watanzania wameanza kutupiana shutuma za kutafuna fedha za zilizotolewa kwa nia Ovu ya kufanya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world. Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
SIRI IMEVUJA Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa...
10 Reactions
128 Replies
7K Views
Mikakati mingi sana inapangwa bila Salum Mwalimu kuhusishwa amekuwa mpokeaji wa mambo au kuyasikia kwenye mitandao kama wengine, kurudi kwa Dkt Slaa kamati kuu ikae muamue lisiwe swala la mtu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga. Taarifa zinaonyesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI. Nukuu: "....Mkutano wao kina Dk Slaa...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom