Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA...
Anauzika na kunadika kirahisi sana kwa wananchi na anazungumzwa vizuri sana ndani na nje ya nchi..
Hayupo wa kumshinda kwa mvuto wa kisiasa, uwezo wa kiuchumu na ushawishi katika ujengaji hoja na...
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa...
TAARIFA
Tumepokea taarifa za Kutaka Kumtorosha Pauline Gekul kwenda Nairobi,nchini Kenya kupitia mpaka wa NAMANGA kwa kutumia Landcruiser Hardtop nyeupe yanye namba za DFP 76551 na Vioo vyeusi...
Ngurdoto ilikua/ipo chini ya The Impala Group of Hotels (IGH) ambayo ilikua ina jumuisha Impala Hotel (Arusha), Impala Hotel (Moshi), Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha), Naira Springs Hotel...
Ndugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika...
Baada ya Ufisadi wa IPTL, PAP na Escrow kurejeshwa Bungeni, inatajwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Eliezer Mbuki Feleshi na Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) Sylvester Mwakitalu...
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.
Ikumbukwe mkataba...
Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa...
Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza...
Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za...
TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya kikundi cha CHADEMA zinasema kuwa mpango na mkakati wa kumpokea Luhanga Mpina kama mwanachama wao mpya kuelekea uchaguzi wa 2025 umekamilika na anatajwa kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimepenyezewa taarifa kuwa CHADEMA hakukaliki wala hakuendeki wala hakupangiki mikakati ya aina yoyote ile. Hii ni baada ya ujio wa Makonda kuonekana kuwa tishio kwa uhai...
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na...
Mimi Tai katika kupaa kwangu nimekutana na penyenye kuwa Uchaguzi wa TCCIA unaofanyika tarehe 07.11.2023 umeanza kupata dosari.
Viongozi wa Makao Makuu wameanza kupanga safu, ikiwa ni pamoja na...
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye...
Salaam,
Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho.
Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda...
Hawa TTB [Tanzania Tourist Board] walikana kumtuma huyu Mwijaku nchini Ufaransa na kutuandikia barua ndefu ya kanusho huku Mwijaku naye akifuta post yake aliyojirekodi siku akiondoka na kuwataja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.