Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni...
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho...
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji
Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa...
Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma...
Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi...
Chalamila anaondoka DSM kutokana na kushindwa kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za jiji hilo kubwa. Mahitaji ya wananchi na maono ya RC Chalamila vimeshindwa kuendana na hivyo...
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
Serikali ambayo...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI...
Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa.
Majadiliano yao yamefuatia...
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila...
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa. Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.
Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia...
Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya...
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.