Katika kuendeleza diplomasia duniani. Mwanataaluma, Mheshimiwa Prof Balozi Benson Bana anatajwa kama Mkurugenzi Mkuu ajae wa Shirika la Umoja wa Mataifa - UNESCO.
Profesa Benson Bana
Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana.
Sababu zinazotajwa ni kutokana na...
Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.
Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.
Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia...
Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona...
1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato.
2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia.
3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na...
Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri...
Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM
Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni...
Imearifiwa wakati Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa January Makamba akitarajiwa kuwasili jimboni humo mwanzoni mwa mwezi ujao, wapiga kura wake wanajiandaa kumpa mapokezi ya kishindo.
Tuombe sana...
Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles !
Huyu balozi wa...
Kutoka kona za ikulu asubuhi ya leo ni kuwa Mheshimiwa January Makamba atangaza kugombea uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika (AU) kutoka nje ya Umoja wa Afrika Mashariki na SADC baada ya mgombea...
Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena...
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Ile nyota ya mh Prof...
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi...
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani...
Kutoka viunga vya ufipa gazeti la Mwangaza limedokeza kuwa Kada machachari wa Chadema anaweza kuuondoka chama hicho muda wowote kuanzia hivi sasa.
Tundu Lissu aliondoka nchi mwisho mwa mwezi Juni...
Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,
Lengo la mkopo...
Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia...
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia...
Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa...
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.
Wabunge wanaotajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.