Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme...
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT...
KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania...
Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike...
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni...
Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada.
Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi...
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa...
Ni tetesi kwamba kuna kundi la Wanachadema Wakiongozwa na Kiongozi mmoja wa Kanda ya Nyasa wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea uRais wa JMT Mbowe
Tayari Wanachama wa CUF wametangaza...
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa...
Ni vizuri kwamba CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro.
Hii inaonyesha kuwa CCM inaufuatilia kwa...
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.
Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:
Uhamisho wa...
Mnaendeleaje huko?
Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi.
Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu.
Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.