Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi anatajwa kuwepo kwenye timu ya Wanasheria kwenye kesi itakayofunguliwa London dhidi ya Kampuni ya Tigo.
Soma Pia:
Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu...
Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe.
Wakati mmoja...
Taarifa hii iliyonukuliwa kutoka jarida la Bloomberg linadai kwamba China iko mbioni kujenga Kambi za Kijeshi Tanzania na Mozambique.
My Take
Huenda ni porojo na propaganda za USA maana Mamlaka...
Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka...
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke...
A Vision for Academic Excellence
The Institute of Finance and Management (IFM) has a rich history of providing quality education in the field of finance. As the institute has matured and expanded...
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga...
Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na...
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024...
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha...
Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia...
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata...
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.
Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka...
Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani...
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho...
Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.