Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi...
Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo.
Bado...
Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu...
Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.)
Hali hii inatokana na...
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais.
Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.
Mungu...
Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya...
Inasemekana,
barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na...
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu...
Wasalaam,
Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.
Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za...
Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe.
Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi...
Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna...
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha
kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa.
Siku chache kabla ya uchaguzi wa...
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana...
MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya...
Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe.
Wakati mmoja...
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya...
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe limekuwa likijulikana sana, hususan kutokana na mchango wake katika kuendeleza demokrasia na haki za binadamu nchini. Hata hivyo, licha...
Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.