Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel
Bony aliongozana na washkaji wawili ambao...
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba...
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa...
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha...
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Mdomo uliponza kichwa.
Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.
Kikao...
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku...
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu...
Friends ladies and gentlemen,
Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni...
John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho.
Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa...
WAKATI MAJIMBO NA MIKOA HAMPATI HATA LAKI MOJA YA KUWASAIDIA KWENYE KAMPEINI KUJENGA CHAMA, MAKAO MAKUU TUMEGAWANA ZAIDI YA MILIONI MIA NNE KUTOKA KWENYE RUZUKU
Nawasalimu wakubwa Viongozi na...
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila...
Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa...
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake...
Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.