Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika
UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO...
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
-...
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu.
Wenye wenu wivu mjinyonge.
Habari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha...
"...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha...
Wakati mwafaka wa kufanya uchaguzi wa ndani wa Chadema utategemea mambo kadhaa, lakini kwa kuzingatia muktadha wa kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025, ni bora uchaguzi wa ndani ufanyike baada ya...
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri...
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii...
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi...
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.
Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?
Happy...
Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga.
"Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama
Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba...
Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria
Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024
RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji...
Swali, Je, huenda Freeman Mbowe akajitoa ili kulinda heshima kidogo aliyonayo au yuko tayari kubeba aibu kwa gharama ya chawa wake||
Taarifa za chinichini ni kwamba,
Mtia nia wa nafasi ya...
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na...
Kwa ufupi sana,
1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni tena bila ya baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana kweli Kunti hakutumwa na mumewe?
2. Hata...
Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana...
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu...
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.