Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe...
3 Reactions
94 Replies
2K Views
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa. Sababu za kwanini awe Nchimbi, 1. Unyenyekevu kwa...
12 Reactions
84 Replies
3K Views
Za ndani kabisa, Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini, amempigia simu Tundu Lissu na amemtakia kila lililo la kheri kwenye Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama keshokutwa.
5 Reactions
27 Replies
871 Views
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa...
13 Reactions
122 Replies
5K Views
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
25 Reactions
123 Replies
8K Views
Ni suala la muda tu, mambo yote yako tayari. Ni mtikisiko mkubwa.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV...
11 Reactions
81 Replies
6K Views
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia. Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka. Baada ya Maongezi ya muda...
18 Reactions
161 Replies
8K Views
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu. Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
11 Reactions
144 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema...
3 Reactions
9 Replies
568 Views
Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe. Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao...
4 Reactions
25 Replies
949 Views
Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound...
1 Reactions
15 Replies
966 Views
Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana...
1 Reactions
2 Replies
205 Views
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa...
4 Reactions
10 Replies
500 Views
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support. ***Kwa...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda...
41 Reactions
211 Replies
8K Views
Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom