Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza...
Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na hatimate Mtakatifu unaendelea na kwa sasa uko chini Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
KANISA...
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.
CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na...
Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa...
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dr. Likwelile muda wowote kuanzia sasa atapandishwa mahakamani Kisutu kujibu mashitaka ya ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, na kusaidia ukwapuaji wa...
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.
ACT wametengwa kwa...
Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa...
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya...
Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda.
Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni...
Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana...
Wanajamvi Salam,
Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya.
Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa...
Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa
Zaidi ya...
MBUNGE wa Mvumi na Mjumbe wa NEC ya CCM Taifa, Livingstone Lusinde maarufu Kibaji ametajwa kushinikiza vikao vya NEC ya CCM kuwa Chama kimfukuze Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina.
Lusinde anadaiwa...
Disclaimer: Hizi ni Tetesi
Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni...
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie...
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
DPW walipaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.