Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara...
Klabu ya Yanga inatarajia leo kupewa zawadi na Rais Samia ya nyongeza ya eneo pale Jangwani ili eneo lile sasa liweze kutumika kwenye upanuzi wa kujengwa kwa uwanja wa mpira wa miguu wa Yanga...
Taarifa kutokea wizarani pale Uchukuzi zinasema Viongozi Wakuu wa Vyama Vya Siasa wamealikwa katika Sherehe za Mapokezi ya Ndege ya kwanza ya Mizigo Boeing 767-300F
Miongoni mwa Wanasiasa maarufu...
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha...
Wamiliki wa baa na hoteli jijini Mwanza wamesema wataanzisha mgomo kuanzia kesho kutokana na baraza la Taifa la mazingira NEMC kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kwa...
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Baada ya kushuhudia upendeleo kwa watoto wa kike wanaochaguliwa kuingia kidato cha tano, imenilazimu kutoa angalizo. Kama nchi...
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe...
Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu.
Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa...
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.
Ndege hiyo...
Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya...
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua...
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza...
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi...
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo RaisJohn Magufuli katika vita ya ufisadi.
Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza kudhihirika kuwa hasira zote na bidii ya kunyamazisha...
Wadau katika kuongea na mdau serikalini ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza Samia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz. Hizi ni Gharama za posho za vikao vya...
Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba
Inadaiwa mbunge huyo wa barabara...
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.