Yaliyo fanyika hivi karibuni;
1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi.
2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki.
Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru...
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa...
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo
Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe...
Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights.
Kama ni...
Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na...
Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na...
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura
Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu...
Kuna habari zimeenea kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani nchini Tanzania amenunuliwa aende CCM. Kwa kuangalia upepo wa mambo namuona mpare ndugu JAMES MBATIA aliyekuwa NCCR Mageuzi. Japo...
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.
Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya...
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya...
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo...
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii.
----
Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter...
Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo...
Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha...
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi...
Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.