Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.
Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea...
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama...
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu...
Baada ya kufariki Makamo wa kwanza Maalim seif sharif Hamad, Kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale kuhusu ni nani atakae weza kuvaa viatu japo nusu, vya marehemu Maalim Seif, mpaka sasa majina ni...
Wanabodi,wengi watakua wameshtushwa na uteuzi wa Dr. Bashiru ambae ni Katibu Mkuu wa CCM kupewa wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi,ila sidhani kama jambo hili limefanyika kwa bahati mbaya!!!
Kabla...
Halo JF siasa.
Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha...
Wanabodi,
Pamoja na Nia Njema ya Rais Wetu JPM kuunda PSSSF ili kuboresha mafao ya wastaafu na watumishi wa umma.kuna tetesi kuwa menejimenti hiyo haipo focused na madai mbalimbali ya watumishi...
Mabibi na mabwana hii imekaa je.
Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo.
Sheria zipi...
Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale...
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa
''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia...
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm...
Katika hali isiyokua ya kawaida inadaiwa kua kuna vuguvugu la ndani kwa ndani katika umoja huo linalohusishwa mikakati ya kuomba uungwaji mkono kutoka ngazi za juu ili kuitisha kikao cha wajumbe...
Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na...
Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.
Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA...
Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum.
Kundi...
Tanzania imejitoa rasmi katika Mahakama ya Africa, hivyo NGO's, mashirika na watu mbalimbali hawataweza tena kufungua kesi katika Mahakama hiyo kutafuta HAKI.
More to follow...
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo...
Kuna habari zisizothibitishwa kwamba yule Mkurgugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji pale kanisani ni Itigi ni mtoto wa dada yake Raisi Magufuli. Ikiwa hili ni kweli basi ni wazi kwamba tukio...
Moto umewaka ndani ya ACT Wazalendo Kigoma kutokana na Azma ya Madiwani wote kumkataa Meya wa Manispaa . Usiku wa kuamkia tarehe 16.01.2020 wamejikuta viongozi wa kitaifa wakishindwa kuyamaliza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.