Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za...
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.
The event followed by former Membe (former CCM cadre) who...
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama...
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu.
Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na...
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge...
Mnyetishaji anaseme kwa hali na mali matajiri wanaumia sana kwani wamebanwa kila njia wanaangalia nani wa kumuunga mkono agombee kwa njia yeyote Ile by 2020 basi inaonekana ndani ya CCM watajaribu...
Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga...
Habari wakuu.
Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia...
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga...
Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa CCM na James Mbatia, Nipe nikupe!
Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani...
Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.
Mkakati huo...
Kuna taarifa kuwa NCCR-Mageuzi wanatarajiwa kutambulisha mavazi yao ya kazi kuelekea uchaguzi Mkuu 2020
Taarifa zinadai kuwa NCCR watavaa kama EFF ya Malema ili kushabihi nembo yao. Wanaume...
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki...
Katika pita pita yangu mitandaoni muda mfupi uliopita, nimekutana na hii habari isiyo rasmi kutoka kwa mtumiaji mmoja wa mtandao wa twitter kuwa kuna mpango wa kuanzisha Bank ya aina hiyo hapa...
Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege...
Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya.
Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa...
Weka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa...
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa...
Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.