Ripoti ya siri ya mwenendo wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imevuja na aliyeivujisha hajajulikana bado. Inadaiwa kuwa mwaka 2016 Rais Magufuli aliamuru kufanyika kwa uchunguzi ndani ya...
###BREAKNEWS:CCM SIRI IMEFICHUKA.
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA NA MIPANGO MIOVU NDANI YA CCM
CCM inatumia bilioni 12.8 katika MIPANGO mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni UJASUSI WA KUSINI NA...
Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni.
Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye...
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe...
Hadi muda huu nakaribia miaka 60 sijui maana au sababu hasa ya kukimbiza mwenge. Jf ya wabobezi nisaidieni mwenge una tofauti gani na KIBATARI kikubwa?
Kumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.
Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa...
"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".
"Ni...
Kuna taarifa za ndani kabisa kwamba Ndugu yule pumuzi imekata na anataka suluhu ya kuomba msamaha kwa yote.
Inasemekana mapema jana alimtumia Mustaafu mmoja akimwomba amwezeshe kukutana na Mkuu...
Habari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine...
Habari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais...
Mwenyekiti wa NLD, Dk Makaidi alisema zipo dalili na ushahidi kuwa uchaguzi ukifanyika mwaka huu CCM itang'olewa madarakani na kwa kulijua hilo, Serikali inafanya kila njia ili kuahirisha...
Tunapoelekea Uchaguzi wa Urais na Ubunge mwakani jimbo la Segerea kumekucha, vikao vimeanza na Mbunge wa Jimbo hilo Bonnah Kamoli ana wakati mgumu sana.
Baadhi ya watu wanaofanya vikao sasa...
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa...
Ukawa nawaomba msije MKAJIROGA mkachukua hizi sampuli zinazo tumbuliwa na kughafilishwa huko CCM afu eti baadae zikija kwenu ndo muwasimamishe kugombea KAMA MLIVYOFANYA 2015.
Habari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio...
Wiki iliyopita CCM makao makuu ilifanya mabadiliko ya Katibu wa CCM wilaya Mbinga, kwa kumuhamisha aliyekuwa Katibu (W) Bi. Zainabu Chinoa na kumleta Bi.Domino Soko.
Taarifa za uchunguzi...
Tukemkuwa tukizoea nchi ya Tanzania kuitwa nchi ya less developing country kwa muda mrefu huku ikiwa na wasomi wanaojua kufanya research za kisiasa uzoefu pamoja na explore.. Ni muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.