Aisee mambo yamepamba moto.
Ni hivi, vitisho mfulululizo vimekuwa vingi lakini mpaka sasa havijafua dafu. Heko CAG Prof. Assad kasimamia taaluma na kiapo cha katiba na msahafu.
Vyanzo vya...
Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu...
Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza...
Magufuli Ana Hofu Kubwa Kuwa Kuungana kwa Zitto Na Maalim Seif Kwaweza Kumng'oa 2020
Majasusi hutegemea sana hisia ya sita ((6th sense) katika kufanya baadhi ya maamuzi yao. Na hisia ya sita...
Yasemekana kua kazi hii imeanza kufanyika kitambo kidogo, ilisimamanmiwa na Naibu Waziri mmoja kijana kabisa ambaye awali aliwahi kukitumikia CHADEMA katika ngazi ya juu kabisa kwenye taasisi ya...
Brela,Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya taasisi kongwe inayopaswa kuliingizia taifa fedha nyingi kupitia tozo na malipo mbalimbali yahusuyo usajiri wa...
CAG report ya mwaka huu ni pasua kichwa kuna ufisadi wa kutisha wa pesa za umma..
Upotevu wa 2.4 trion ongezeko karibu mara mbali ya pesa ambayo haikuonekana mwaka Jana....
Najua wakurugenzi wa...
Inasemekana jeshi la Polisi lilishaelekezwa kumlinda Lipumba pamoja na wajumbe wake kwa udi na uvumba , jeshi la polisi lilitakiwa kuhakikisha " MKUTANO MKUU " Unafanyika ili kumvua ukatibu mkuu...
Ndugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi...
Kuna tetesi kuwa Mbowe hatagombea tena uenyekiti chadema na badala yake anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu na nafasi ya Mwenyekiti anapendekezwa mzee Lowasa kama kura zitatosha. Ktk kutimiza miaka 25...
Mh Rais pole kwa yote yanaendelea kuhusu bwana yule kule ughaibuni.
Ila sasa ukweli tumeujuwa adui yumo ndani ya serikali yako na bwana lisu ameshajisemea mwenyewe.
Either walimpa tango pori au...
Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa...
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa...
Kwanza nianze na pongezi kwa serikali ya jamhuri kwa kuchukua hatua katika kutekeleza mipango endelevu ya kiuchumi. Pia nimpe kongole alietamka kwa ukakamavu kua miradi hii ya Reli ya kati...
Wadau, amani iwe kwenu,
Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye...
Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata...
Nikiwa ndiyo nakimalizia kukisikilizia kipindi cha morning magic, nimesikia wakitangaza kwa ufupi mnoo kuwa Kinana ameandika barua ya kujiuzulu.
Mwenye taarifa zaidi.... Kipi kilichopelekea mpk...
Hii ni taarifa iliyovujishwa na baadhi ya wazalendo waliochoshwa na uonevu wa kishamba , kwamba viongozi hao wa Upinzani wakamatwe ili kuwatisha na kuwavunja moyo , wanyimwe dhamana angalau kwa...
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais
Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.