Habari toka katika vyanzo vya uhakika vya hapa na pale vinaeleza kuwa Serikali ipo katika mchakato wa kununua ndege mpya ya Rais yenye hadhi ya VIP,itakayo kuwa inatumika kwa usafiri wa ndani na...
Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni...
Wakati Kamati ya uongozi ya chama cha wananchi CUF, inayoongozwa na mpiganaji Julius Mtatiro kama mwenyekiti na watetezi wengine wa maslahi ya chama cha wananchi CUF dhidi ya kibaraka wa CCM...
SERIKALI, KAMATI YA BAJETI KUJADILI ONGEZEKO BEI YA PETROLI
Na MAREGESI PAUL-DODOMA
SERIKALI imekubali kukutana na Kamati ya Bunge ya Bajeti ili kuangalia jinsi ya kuongeza Sh 50 katika bei ya...
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker...
Kuna watu humu ndani ya mtandao nadhani wanachuki za dhati na mkuu wataifa letu yani kwakweli wanakera kama sio kukatisha tamaa japo ktk kuandika kwao hawajuwi Mungu anamengi nakulipo kuongea...
Habari kutoka chini ya carpet ktk korido za UVCCM Upanga zinadokeza Jokate atagombea uenyekiti wa UVCCM taifa.Inasemekana hata uteuzi wa juzi kama kaimu katibu wa uhamasishaji ni mkakati wa kumpa...
WANYAMWEZI WENZANGU NAO WAMEPELEKA UJUMBE LUMUMBA. TABORA YA LEO SIO YA MWAKA 77.
Matokeo Uchaguzi Mdogo wa Vijiji na Vitongoji wilaya ya Uyui mkoani Tabora 23/4/2017.
CCM Ya pigwa na chadema...
NAPE KUHAMIA CHADEMA?
TAARIFA za uhakika zinasema kuna mazungumzo ya mara kwa mara kati ya mbunge wa Mtama Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chadema wakimshawishi kuhamia chama hicho.
Mmoja...
Taifa langu nakupenda nawapenda viongozi wangu na watanzania. ila ningependa mjuwe tunapita wakati mgumu kama taifa. kiukweli hakuna wakumlaumu as long as haya ni matunda ya zaid ya miaka 50...
TUTAKOMOANA AISEE.
Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.
Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha...
wana jf kuna jambo huwa nashindwa kuelewa.
mara nyingi ukiangalia siasa za wenzetu utaona kama ni pinzani au yupo madarakani basi kati ya hapo siasa zao ni nani hata weza boresha au kujua nini...
Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu...
Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa...
Siku ya tarehe 28/3 2017 nilipost ujumbe mfupi kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefanya uhuni na udikteta kwa kulazimisha kupitisha jina la Bwana Philimon Ndesamburo kua mgombea pekee...
Imebainika kwamba serikali ta jamhuri ya muungano wa Tanzania hupoteza Kiasi cha shilingi trillion 2 kila mwaka kutokana na uzembe unaofanyika katika Biashara ya mkaa nchi nzima.
Hayo yamebainika...
1. Bodi 15% Makato
2. Faini nyingi za barabarani
3. No salary increment
4. Bidhaa muhimu zipo bei juu mf. Sukaru n.k
5. Biashara haziendi kabisa.
6.
7.
8.
N....
Ongezea ww za kwako. Hizo ni...
Vyanzo vinadai kuwa kulipeleka swala hili mahakamani, litanyima fursa ya Bunge kulizungumzia. Binafsi sitegemei jipya kupitia Bunge hili na kama ikitokea basi utakuwa muujiza wa kwanza wa Bunge...
Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.