Wadau hii ni tetesi yenye ukweli 95%.
Ukweli ni kwamba baada ya serikali kupandisha kodi katika utalii, sasa hali ni mbaya Arusha ambao ndio mkoa wa kitalii zaidi Tanzania.
Kuna taarifa kuwa...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kutangaza ofisi yake inamtambua uongozi upi ndani ya CUF siku hiyo.
Mytake:
Tukumbuke Uchaguzi wa CUF ulishafanyika na Mtatiro ndio Mwenyekiti...
Nimejaribu kukaa na kutafakari mwisho wa siku nikapata jibu kua siasa haziepukiki kwa sasa, sidhani kama kuna chama kitasubiri 2020 kuja kufungua matawi katika maeneo mbali mbali nchini.
Kwa...
Baada ya kuona mwaliko wa Edward Lowassa kwenye Uzinduzi wa chama kipya nchini Kenya cha Jubilee Party hapo jumamosi tarehe 9 September nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!
1...
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
WanaJF
Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi kwamba...
Ndugu Wanachadema Mkoa wa Arusha, sisi ni vijana wenye uchungu na chama chetu ndio maana tuko tayari kuipigania hata kuifia ili tupate ukombozi. Ni sisi tulikesha nje ya mahabusu alipowekwa ndani...
Ukifuatilia mlolongo na mwenendo wa matukio, basi bila shaka utajua hasa nini kinafuata!
Baada ya kuondolewa Dr. Servacius Likwelile mapya ( kwa baadhi yenu) yameanza kuzungumzwa! Japo kwa...
Mkuu wa nchi alianza unono kwenye ishu za uteuzi ila sasa wale wahusika haswaaa wanaofanya halmashauri zitekeleze malengo hajawagusa kabisa.
Naona kama sasa ni wakati wa Mkuu wa kaya kuteua wakuu...
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula...
Kuna tetesi kwamba kesho mtu yeyote atakayeonekana amevaa Nguo au vipeperushi vya CHADEMA atakamatwa na kutakiwa kujieleza ni kwa nini amevaa nguo hizo.
Kilichoko Meru Dc na Arusha Dc kinatisha.Madiwani wanakaa na kuazimia kuondoa mtumishi yoyote ambaye hakubaliani na matakwa yao,wanafanya vituko vya kufedheesha jamii.watendaji wa kata hawatakiwi...
Salaam Wandugu,
Kwa taarifa nilizozipata,Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategemea kufanya ziara Mkoani Kilimanjaro hasa Wilaya ya Siha kuanzia tar 1-9-2016.
Taarifa hizo zinadai...
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Naomba kuanza uzi huu kwa ku declare my interest kuwa Mimi Pasco wa JF, naunga mkono maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima na siku ya siku, nitajitokeza...
Mahakama ya Wilaya ya Rombo yawanyima dhamana MADIWANI 3 wa CHADEMA na mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo mpaka tarehe 05/09/2016. Hii ni baada ya Afisa Upelelezi wa Wilaya kuwasilisha...
Habari nilizopata kutoka jikoni zinasema kuwa siku ya August 31 mwaka huu, siku moja kabla ya UKUTA rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza mambo mazito kwa watanzania.
Inasemekana kuwa...
Nimuda muwafaka serikali kuzichunguza nakuzifuwatilia banks zote za biashara ilikuliokoa taifa hili na kile kinaweza kujakutokea huko mbeleni......
Baada ya kuyauza baadhi ya mashirika yetu pia na...
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Naangalia taarifa ya habari StarTV wanaonyesha mazoezi ya Polisi na JWTZ katikati ya mji wa Bukoba!
HII picha inasikitisha saana na ina ashiria hali ya hatari sana...
Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964...
Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa baadhi ya vyombo vya kimataifa hasa vya nchi za magharibi na mashariki ya mbali vimeanza kuwasili nchini ili kushuhudia tukio kubwa la kitaifa linalotarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.