Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki. TUTAKUMBUSHANA MUDA...
9 Reactions
62 Replies
12K Views
Wakati wa bunge la katiba kulijitokeza makundi mawili tanzania kwanza na umoja wa katiba ya wananchi. Haya yalikuwa matokeo ya kile kilichotokea ndani ya bunge na misimamo ya vyama vya siasa, leo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna uwezekano mkubwa mwanamuziki Selemani Msindi (Afande Sele) kuwa katibu mkuu wa pili wa chama cha ACT Wazalendo. Hii inatokana na ukweli kuwa chama hicho kwa sasa hakina katibu mkuu baada ya...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Ndugu zangu Hapa arusha kuna wazalishaji wa bidhaa wengi sana kwa kutumia umeme hasa sisi wazalishaji wa Bidhaa za karanga na Mafutaya alizeti. lakini Arusha umeme unakatika saa 2 Asubuhi hadi saa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani...
7 Reactions
105 Replies
13K Views
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize...
9 Reactions
92 Replies
14K Views
Viwanda vya sukari vimesimamisha uzalishaji wa sukari, baada ya kuuliza sababu wametaja kuwa kuna msimu wa uzalishaji na muimu wa uzalishaji umeshapita. Ni wakati wa kusubiri mavuno na kusindika...
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Nimeshuhudia mbunge wa kahama mjini Mh.Jumanne Kibela Nkandi Kishimba akilaumu watendaji wa halimashauri ya mji wa kahama haswa engeneer kupitisha barabara hewa....ambazo zingine zilishatengenezwa...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Wakati joto la bei ya sukari ikiendelea kuwa juu na wakati kiwanda cha TPC moshi kikiwa kimefungwa km ilivyo utaratibu wake wa kila mwaka kukarabati mitambo yake, inadaiwa tajiri mkubw hapa nchini...
6 Reactions
117 Replies
20K Views
Bandari ni kiungo muhimu cha nchi na ukiangalia bandari yetu ni hub , ina uwezo wa bila wasiwasi kuhudumia nchi zaidi ya 9, bila wasiwasi. Lakini ikumbukwe mpaka sasa serikali haina wa kumfunga...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi ile bandari ya bagamoyo imefikia wapi? na mikataba kumi na saba ya china? Kwasasa mimi naona mauzauza tu Mara reli mpaka Rwanda, Mara bomba la mafuta Mpaka uganda, mara kuna baadhi nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Naamini umenisikia ingawa hujaniona, au!" Ndivyo Wabunge wetu Waheshimiwa wanataka iwe. Huo ndo uwakilishi wao uliotukuka. Soma hii hapa chini: "Wabunge wa upinzani wameibuka na mbinu mpya ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Nasikia walienda dispensary usiku wakimsihi wana mgonjwa alipotoka akachinjwa. Waliopo Geita watujuze vinginevyo hali yazidi kuwa tete kama ni kweli kwa watumishi wa afya nchini
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Guys, Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kwamba, ule mkutano wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi na waandishi wa habari umeahirishwa. Mkutano huo ulikuwa ufanyike saa 6 (dakika mbili kutoka sasa)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike...
0 Reactions
94 Replies
21K Views
Wadau nimepata tetesi kuwa waziri wa Tamisemi Mhe Simbachaweni ametoa waraka kwa halmashauri nzote nchini wasitangaze tenda za kukusanya ushuru ili Serikali ikusanye yenyewe kwa mwaka huu naomba...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Uganda katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Kenya, Uganda na Tanzania kujadili mradi wa Bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda. Kikao hicho kiliisha Saa 6:30...
8 Reactions
80 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu. Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi...
10 Reactions
134 Replies
18K Views
TETESI. Makundi ya wapiga deal ndani ya ccm hawana furaha juu ya uendeshaji wa serikali unaofanywa na magufuli. Ndio maana yeye kasema amewasikia mawaziri wakimsema sema kuhusu packee. Wanadai...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Back
Top Bottom