Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu...
2 Reactions
29 Replies
530 Views
Wakuu, Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira ========================== Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...
0 Reactions
9 Replies
412 Views
Wakuu, Kazi kwelikweli, uchawa unatumaliza! ==== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia uongozi wa Mbunge...
2 Reactions
4 Replies
270 Views
Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya...
2 Reactions
4 Replies
219 Views
Mimi kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa. Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa...
2 Reactions
2 Replies
107 Views
Wakuu, 1. MBUNGE WA BAHI - Kenneth Ernest Ollo Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 40,628 dhidi ya Godfrey Job (CUF) aliyepata kura 1,756. Michango Bungeni...
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Heshima kwenu, Moja kwa moja kwenye mada husika. Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho" Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya...
20 Reactions
186 Replies
8K Views
Wanabodi, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita...
1 Reactions
1 Replies
150 Views
Wakuu, Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana ============================================== Akizungumza...
2 Reactions
18 Replies
568 Views
Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi...
7 Reactions
83 Replies
10K Views
Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
CHADEMA ni chama ambacho tayari kimepita hatua ya kufa au kufifia kisa Kuna Mwanachama au wanachama kadhaa wameihama kwenye hili nadhani tunakubaliana wote. Kuna kila dalili CHADEMA ikatwaa Dola...
4 Reactions
19 Replies
656 Views
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli? Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana =============== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Wanakumbi. Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje...
5 Reactions
97 Replies
2K Views
Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili ================ Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Back
Top Bottom