===
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you...
Wakuu
Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote.
Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi...
Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao
Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi...
Wakuu,
Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi.
Hapo mzazi akigoma kulipa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa...
Hashim Rungwe Spunda, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa kuhusu Jeshi la kujenga Taifa (JKT) kupata chakula na huku akiona hakuna umuhimu wakuwa na Jeshi hilo na akipendekeza...
1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameonya vikali baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Ushetu waliogeuka kuwa mawakala wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge, akisema...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume...
Wanaume mpo?
Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani...
Utangulizi
Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na...
Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar...
Huu ni muda wa mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi mjini Kazi iendelee
Siku ya Jumatano tumepokea gari ya pili ya zimamoto kutoka kwa Mji dada wa Marburg, Ujerumani na...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.