Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naona kila kitu imekuwa ni Samia.
1. Madaktari wa Samia
2. Waalimu wa Samia
3. Mitungi ya gas ya Samia
4. Wanasheria wa Samia
5. Shule za Samia
6. Ongezea na...
WanaJf, Salaam!
Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.
Kwa uongozi wa...
Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA
Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni...
Wanabodi
Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.
Karibuni.
====...
Wakuu salama…
Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana.
Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato.
Angeweza kufika...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania...
Wakuu
Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo...
Ni kawaida kupaniki pale unakuwa denied. Lakini Europe is never safe. Hakuna binadamu wanafiki kama wazungu, sio wote lkn niseme serikali zao wote ni wanafiki.
Tuliowahi kuishi na hawa viumbe...
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya...
KUKANUSHA TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI DICKSON NG'HILY NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO
Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata...
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kuna uwezekano mkubwa kwamba malalamiko kuhusu ubovu wa katiba ya Chadema, yalichochewa na chuki binafsi dhidi ya wagombea uongozi Fulani ndani ya chadema, na kwahivyo hakuna haja ya viongozi hao...
Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa...
Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa...
Mama Samia: Kiongozi wa Maendeleo, Je, Atakuwepo Mwingine Kama Yeye?
Nimekaa nikatafakari kwa kina kazi nzuri anazofanya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa muda wake madarakani, tumeona...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM...
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?
1. Immigration - ili upate passport...
Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa...