Machache lakini mazito
Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)...
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA...
Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema:
"Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai...
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo.
Vijana...
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30).
Inadaiwa kuwa Manengelo...
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa...
Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi.
Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa...
Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
Hii ndio Taarifa ya ghafla iliyotufikia hivi Punde
No Reform No Election
========
Mengineyo: Inatarajiwa ITV kuvunja rekodi ya Watazamaji Tangu kuanzishwa kwake.
UPDATES
=======
Tayari Tuko...
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na...
Wakuu
Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
MAELEZO YA MHESHIMIWA...
Ni jambo la busara kuwawezesha akina Mama katika uteuzi wa viti maalum Bungeni. Wanapokuwa Bungeni wanapata uzoefu jinsi ya kuongoza na kuishi na jamii kwa ujumla.
Pamoja na mazuri yote...
Tanzania yaunga mkono jitihada za CTBTO kupiga marufuku majaribio ya Nyuklia
Mapambano dhidi ya matumizi ya Nyuklia duniani kote yanaendelea, huku Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi 178 zilizosaini...
DAR ES SALAAM: JUMUIYA ya Wanawake Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania (T-WCP/ULINGO) imetaka kuwepo na ukomo wa miaka 10 kwa wabunge wa viti maalumu na baada ya hapo waende kugombea kwenye...
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza.
Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa...
Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo...
Juzi ilizinduliwa uchangiaji wa TONE TONE na hivyo tunaiomba CHADEMA irudie taratibu wa uchangiaji huu mara kwa mara ili wanaopenda kuchangia wachangie.
Chama kielekeze wazi taratibu za njia...