Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Karibuni Vatican city ndio home 🏠 Maandalizi tayari bado tangazo tu
3 Reactions
12 Replies
556 Views
Wapiga Kura sio mara zote wanakuwa na Uelewa wa Mzizi wa Tatizo lao, hapo ndipo kina Hitler, Trump na wengine wengi wanaweza kutumia fursa ya matatizo hayo ya Wapiga Kura kama Mtaji wa Kisiasa...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
OFISI YA RAIS, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DR. SAMIA SULUHU HASSAN, YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA...
3 Reactions
28 Replies
849 Views
Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address...
0 Reactions
5 Replies
446 Views
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI YA MAADILI WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI JUNI 18, 2024. ‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA...
58 Reactions
223 Replies
9K Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo tarehe 28 Februari, 2025.
0 Reactions
Replies
Views
Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia...
1 Reactions
17 Replies
421 Views
Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida kwenye kesi inayomkabili bwana Hamis Luwongo aliyehukumiwa jana na mahakama ya kuu ya kanda ya Dar es salaam kwa kosa la kumuua mkewe kisha kuuchoma moto mwili...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari Jamii forum Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo , Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania...
9 Reactions
67 Replies
1K Views
Mkoa wa Arusha tayari umeanza shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha siku ya Wanawake duniani kinachotarajiwa kufanyika Machi 08, 2025 kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini...
1 Reactions
28 Replies
908 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
32 Reactions
201 Replies
8K Views
RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025. Pia...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Diwani wa kata ya Buzuruga ambae pia ni naibu Meya wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Manusura Sadick amefanyiwa dua maalum baada ya kutoka hospitali ya rufaa ya kanda ya Bugando alipokuwa...
0 Reactions
6 Replies
234 Views
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno...
0 Reactions
7 Replies
155 Views
Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…