Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA. Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu...
41 Reactions
119 Replies
5K Views
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza. Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Miaka 10 iliyopita dr slaa alikua ni mwanasiasa wa upinzani maarufu hakuna aliyemfikia na dr slaa ni moja ya watu aliowafanya watu wengi hasa vijana kupenda siasa za upinzani Baada ya miaka 15...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita...
8 Reactions
128 Replies
4K Views
Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi...
2 Reactions
15 Replies
661 Views
Kesho ni Januray 27. Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65. Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya...
3 Reactions
17 Replies
714 Views
Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Mzee Wassira amesema maridhiano ni jambo la lazima katika kudumisha Amani yetu Wassira amesema Nchi karibia zote za Africa zilipitia Mapinduzi ya kijeshi kasoro...
0 Reactions
10 Replies
303 Views
Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na...
0 Reactions
2 Replies
303 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote...
29 Reactions
93 Replies
3K Views
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha. Lakini kwa maoni yangu...
12 Reactions
261 Replies
18K Views
“Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia...
3 Reactions
3 Replies
402 Views
Ili Mkutano Mkuu wa CCM Taifa 2025 uweze kufanyika, ni muhimu kwamba vikao vya chama viwe vimetangulia ili kubaini agenda zitakazozungumziwa. Utaratibu huu ni wa muhimu kwani unahakikisha kwamba...
12 Reactions
66 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi huru na wa haki ulochukua siku mbili mfululizo na kutoa matokeo ambayo yameushangaza ulimwengu na kuiacha CCM hoi, kazi ilobakia kwa Chadema ni kujijenga uzuri na kuhakikisha...
1 Reactions
6 Replies
194 Views
Kila Kona mazungumzo ya Chadema ni kulalamika tu kwanini Mkutano mkuu wa CCM umefanya uteuzi wa kushtukiza wa Mgombea uRais na makamu wake Nawakumbusha tu Chadema Siasa ni Sayansi 😂😂 2030...
4 Reactions
16 Replies
381 Views
Wakuu, Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo. Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga...
2 Reactions
20 Replies
454 Views
Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura . Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye...
1 Reactions
19 Replies
963 Views
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema. Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom