Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge,
Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani?
Mda...
Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo.
Kuteuliwa kwa Lema, ambaye si...
Hamjambo Watanzania!
Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram...
Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired.
Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili...
Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii.
Wafanyabishara...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta...
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku...
Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba...
Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika...
Wakuu,
Tunaposema kwamba CCM wameanza kampeni kabla ya muda elekezi hii ndio maana yake.
=========================================================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian...
Wakuu Salam,
Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama...
Hali si swari ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)jimbo la moshi mjini ambako kada wa chama hicho na mtia nia wa kiti cha ubunge hapo mwakani kumporomoshea matusi mstahiki meya wa Manipsaa ya...
MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI
Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo...
Wakuu,
Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila...
Wakuu,
Majirani zetu nchini Rwanda tayari wametuonyesha kwamba inawezekana kubadilisha hali ya siasa inayowabagua wanawake. Wamefanikiwa kufikia asilimia 63.75 ya wabunge wanawake katika nchi...
Waziri Kitila Mkumbo akihojiwa na Wasafi FM amesema kuwa Boniface Jacob hana uwezo wa kumshinda katika Ubunge jimbo la Ubungo. Anatia huruma sana, Hata kushinda kura za maoni ndani ya chama chake...
Wakuu,
MBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI - Noah Lemburis Saputi Mollel
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu:
Shule ya Msingi Olturumet (1986)
CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (2012)
Cheti cha...
Chama cha Demokrasia na Maendelea kimefanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Chama Taifa, licha ya chaguzi zingine kufanyika ndani ya Chama ila mafahari hawa wawili walitikisa anga la Siasa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.