Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje. Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
1. Vichaa wa kisiasa. Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa...
2 Reactions
2 Replies
278 Views
Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na...
0 Reactions
2 Replies
182 Views
Mimi siyo mwandishi mzuri sana. Ni msanii wa mjini tu, najua kukuimbisha ukaelewa somo na ukafanya maamuzi sahihi. Baada ya Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA kukamilika hapo 22 January 2025...
3 Reactions
16 Replies
486 Views
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu kwa ushauri wa upendo kabisa muanze kujipanga vyema na madudu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa yasijirudie kwenye...
1 Reactions
2 Replies
231 Views
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA. "Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe)...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road...
39 Reactions
276 Replies
9K Views
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, azomewa na umati wa watu baada ya kutaja 4R za Rais Samia kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Uchaguzi huo unafanyika leo, Januari 21, 2025...
14 Reactions
70 Replies
3K Views
Wanabodini Mlimakafu?? Mimi ni mpenzi wa siasa za maendeleo zaidi na sio za kiharakati. Wakati huo napenda siasa za kisomi kweli kweli.. Nimekaa nikatafakari baada ya kuisha uchaguzi wa Chadema...
16 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM. Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Wakuu, Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana. Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Angalizo kwa Wanabodi na Mode Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani. Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
29 Reactions
200 Replies
17K Views
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema...
0 Reactions
8 Replies
777 Views
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia Chama sasa miaka yetu hii imekua ni...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana...
28 Reactions
96 Replies
5K Views
Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
4 Replies
305 Views
Back
Top Bottom