John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki"
Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu...
Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha...
Hellow!
Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.
NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha...
Wakuu,
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na...
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.
Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.
Kuhusu...
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana.
"Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo...
Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu.
Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi...
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa...
Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto...
Wakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo...
Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu.
Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo.
Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia...
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa...
"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa...
Wakuu,
Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo...
Rushwa na vurugu zimeikumba CHADEMA katika uchaguzi wa Taifa 2025 uliofanyika Januari 13 na 16, ambapo mabaraza ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha), na wanawake (Bawacha) yalichagua viongozi...
Wakuu,
Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana.
Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.