Katika vitu vilivyonishangaza, ni Mbowe kukosa msimamo wa kueleweka. Leo akiomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu amezungumzia habari za kuingia katika uchaguzi ujao wa 2025.
Soma Pia...
Wakuu,
Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh...
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Ezekia Wenje ameulizwa kuhusu takwimu za madai ya ubadhilifu wa fedha za mkakati wa 'Join the Chain' ambazo alizitoa katika mkutano na...
Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam...
Wakuu
Mgombea akiwa Kikaangoni
Katika hali ya kushangaza mgombea wa umakamu mwenyeketi Chadema Zanzibar, Suleiman Makame Issa (62) ameshindwa kuitaja falsafa ya chama hicho wakati akijinadi...
Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho.
Msingi wa Salehe...
Mwenyekiti wa Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Jimbo la Mbeya Mjini, Hassan Mwamwembe, amesema anatamani Tundu Lissu aibuke kidedea kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka...
Wakuu
Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea...
Kwa chama tawala tayari tumeona ndugu Nchimbi yupo pale kuchukua nafasi ya Dkt. Mpango, ambapo Rais aliyepo ni ndugu Samia. Aliyemtangulia ni Hayati Magufuli. Au tuweke hivi;
1. Rais wa kwanza...
Wakuu
Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai
Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai...
Wakuu
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo?
"Yeye ni mtu...
Wakuu
Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni...
Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika...
Wakuu
Kitaalam tunaiitaje hii?
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto.
Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa...
Binafsi nilishangazwa na namna walivyokuwa wakivuana nguo kila upande kati ya wafuasi wa mbowe na Lissu.
Ijapo Mbowe alionesha ukomavu sana licha ya kuambiwa mwizi bado amekosa mvuto kabisa kwa...
Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza.
Uhakiki...
Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea.
Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha...
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja.
**Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.